kiwango 1  

Commands

Chapisha kitu wenye skrini kwakutumia neno print.

Kuliza mtumiaji achapishe kitu, tumia neno ask.

Rudia kuchapisha kitu kwa kutumia neno echo.

karibu Hedy! Kwa hii kiwango ya kwanza, unaweza kutumia neno print, ask na echo. Bonyeza kitufe(button) chenye rangi ya bluu ili kuanza! Jaribu kutekeleza msimbo(mpango) kwa kutumia kitufe chenye rangi ya kijani 'Run the code' kilicho upande wa kushoto.

print salamu, dumia!


Latest update: Sep 16 (7d937d)